Meneja Matukio wa Ukumbi wa Dar Live, Abdalah Mrisho, akitangaza
tamasha hilo mbele ya wanahabari leo (hawapo pichani) katika ofisi za
Global Publishers, zilizoko Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Shirikisho la Ngumi za Kulipwa nchini (TPBC), Ally
Makaranga, akimkabidhi promota wa ngumi, Kaike Siraj (kushoto), hati kwa
ajili ya mpambano kati ya Francis Cheka na Japhet Kaseba kwenye tamasha
hilo.
Kaseba akijitapa kumchakaza Cheka kwenye pambano hilo.
Diamond akiahidi kutoa bonge la shoo tofauti na alizowahi kuzifanya.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Jacob Steven ‘JB’, akiahidi kuchezesha
wasanii maarufu kwenye kikosi chake. Kulia ni Meneja Matukio wa Dar
Live.
Mhariri wa gazeti la Championi, Phillip Nkini, (kushoto) akiuliza swali kwenye mkutano huo.
Kaseba na mpambe wake wakiondoka eneo la tukio baada ya kumaliza mkutano.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)