TBL yadhamini Mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Pool 2012 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBL yadhamini Mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Pool 2012

Meneja wa Bia ya Safari, Oscar Shelukindo akifafanua jambo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam kuhusu udhamini wa mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Pool yajulikanayo kama 'Safari Lager Pool Championships 2012'. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Pool mkoa wa Mwanza, Khaji Kapulilo na Katibu Mkuu wa TAPA, Amosi Kafwinga.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages