Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Salvatory Machemli (Ukerewe - Chadema) na Danstan Mkapa (Nanyumbu -
CCM) wakielezewa na Afisa wa Vodacom Tanzania Bi.Melinda Siarra,jinsi ya kujiunga
na mpango wa malipo ya baada ya kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini
Dodoma. Vodacom inaendesha zoezi maalum la kuwahamasisha wabunge kujiunga na
mpango wa mteja mmoja mmoja
wa malipo ya baada katika juhudi za kujiimarisha kisoko.
Baadhi ya Wabunge wa Bunge
la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,wakifafanuliwa jambo na Meneja wa wateja wa Malipo
ya baada wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona,jinsi ya kujiunga na mpango wa
malipo ya baada ya kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Vodacom
inaendesha zoezi maalum la kuwahamasisha wabunge kujiunga na mpango wa mteja mmoja mmoja wa malipo ya baada katika juhudi za kujiimarisha kisoko.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)