SEMINA YA KUIMARISHA UHUSIANO BAINA YA WANASIASANA WATENDAJI KTK SERIKALI ZA MITAA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SEMINA YA KUIMARISHA UHUSIANO BAINA YA WANASIASANA WATENDAJI KTK SERIKALI ZA MITAA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,alipowasili katika viwanja vya Zanzibar Beach Resort,alipohudhuria katika semina ya siku mbili ya kuimarisha Uhusiano baina ya Wanasiasa na Watendaji wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa Mwenyekiti wa Semina hiyo iliyoanza Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,alipowasili katika viwanja vya Zanzibar Beach Resort,alipohudhuria katika semina ya siku mbili ya Uongozi ya Viongozi  wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa ni Mwenyekiti wa Semina hiyo iliyoanza Leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya siku mbili kuhusu kuimarisha Uhusiano Baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja leo.
Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa semina ya siku mbili juu ya Kuimarisha Uhusiano baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo, katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,Nje ya Mji wa Unguja.
Sheha wa Shehia ya Ubago,Wilaya ya Kati Unguja,Mkoa wa Kusini Unguja,Bibi Asha Abeid Suba,akichagia suala la Maji wakati wa Semina ya siku mbili,juu ya Kuimarisha Uhusino baina ya Wanasiasa na Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja.
             [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages