TTCL YATOA MSADA WA VITU MBALIMBALI VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TISA SKULI YA CHOKOCHO NA POLISI JAMII JONDENI— PEMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TTCL YATOA MSADA WA VITU MBALIMBALI VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TISA SKULI YA CHOKOCHO NA POLISI JAMII JONDENI— PEMBA

Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Chokocho Idrisa Daudi Ame (Kushoto) akipokea mfuko wa saruji kutoka kwa mkuu wa Kanda ya Zanzibar inayohusiha mikoa ya Lindi na Mtwara Bw. Hussein Nguvu kama ishara ya kupokea vifaa hivyo. Kulia ni meneja wa TTCL Pemba Bw. Alphonce Gakwavu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages