Isaya Charles (wa pili kulia), mkazi wa Igoma Jijini
Mwanza akionyesha ishara ya dole gumba huku akiwa amejawa na furaha wakati
alipokuwa akipokea zawadi ya jenereta kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL) mkoani Mwanza Octavian Magire (wa pili kushoto). Isaya
alishinda jenereta hiyo baada ya kushiriki promosheni ya "Vumbua Hazina
Chini ya Kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo. Wengine katika picha ni
wapambe waliomsindikiza mshindi kupokea zawadi yake.
Isaya Charles (wa pili kulia) mkazi wa Igoma
Jijini Mwanza akipokea zawadi ya jenereta aliyoshinda kupitia promosheni ya
"Vumbua Hazina Chini ya Kizibo" inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya
Serengeti (SBL). Anayekabidhi zawadi hiyo ni Meneja Mauzo wa SBL mkoani
Mwanza Octavian Magire (wa pili kulia).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)