Kutoka kushoto Dilip Musale(left),
Dr.Alex Lengeju wakishuhdia wakati Mama Salma Kikwete na mtoto yatima
Innocent Suta wakikata keki wakati Mama Salma Kikwete alipotembelea
katika kituo cha kulelela watoto cha SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es
salaam, Mtoto Innocent Suta ni mtoto mwenye kipaji kutoka katika kituo
hicho na amepata nafasi ya kwenda kusoma nchini Ghana. Kampuni ya Sadolin imejitolea kupaka rangi vijiji vyote vya kulelea watoto yatima nchini Tanzania
Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni
ya Sadolin nchini ambao walijitolea kupaka rangi vijiji vyote vya watoto
yatima hapa nchini.
Mama Salma kikwete akimlisha keki mtoto
mwenye kipaji maalum Innocent Suta kutoka kijiji cha watoto yatima SOS
anaekwenda kusoma huko Ghana
Mama Salma Kikwete akipaka rangi katika kituo cha kulelea watoto cha SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam.
Mama Salma Kikwete akimwagili mti alioupanda katika kituo hicho wakati alipotembelea kituoni hapo hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)