MR.ATILIO LUSINDE MWANG’INGO |
MRS.ATILIO LUSINDE MWANG’INGO
Familia ya MWANG’INGO na MZENA wa Dar na Iringa. Wanapenda kutoa taarifa ya Kumbukumbu ya wapendwa wao MR & MRS. ATILIO LUSINDE MWANG’INGO. Kutakuwa na mkesha wa kuwakumbuka Marehemu hao siku ya tarehe 29/06/2012 kuamkia tarehe 30/06/2012
nyumbani Mburahati na misa ya kumbukumbu kanisa la Mburahati siku ya
Jmosi saa 12 kamili asubuhi na kumalizia kwa chakula cha mchana Nyumbani
kwao Mburahati Dar es Salaam.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidime. AMEN
IMETOLEWA NA DOROTHY SENG’INGO WA DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)