Karibuni
wadau wote katika Magazine mpya ambayo inapatikana katika mtandao
pekee,lengo kubwa la Magazine hii ni kuwapasha, si Habari pekeyake
lakini pia pamoja na mambo mengine mengi ambayo ukifungua mtandao
utayaona. kama ungependa kutuma habari kulingana na Categories utakazo
ziona tunawakaribisha sana.Pia wataarifu ndugu,jamaa na marafiki.
Tunatanguliza Shukurani.
Link: http://thisdaymag. blogspot.com/
Kwa mawasiliano: thisdaymagazine@ live.com
Link: http://thisdaymag.
Kwa mawasiliano: thisdaymagazine@
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)