Gari aina SCANIA lenye namba za usajili T 587 ABV lilokuwa limebeba
mafuta ya Petroli limeponea chupuchupu kulipuka baada ya tairi la mbele
kuwaka moto baada ya wasamaria wema kuwahi kuzima moto uliokuwa ukiwaka kama lilivyokutwa na
kamera yetu maaeneo ya Kimara mwisho jijini Dar es salaam leo. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)