Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe (kulia) wakizungumza na Rais wa Zambia,
Michael Santa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika Juni 1, 2012, Luanda Angola.
Mheshimiwa Pinda alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano huo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo kati yake na
Waziri Mkuu wa Kwanza wa Namibia, Hage Geigob wakati walipokutana
katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika SADC, Luanda , Angola Juni 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)