TAARIFA YA MSIBA WA DADA REHEMA KAYUNGI WA ARIZONA MAREKANI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAARIFA YA MSIBA WA DADA REHEMA KAYUNGI WA ARIZONA MAREKANI.

 
Marehemu Rehema Kayungi
---
KUNA HABARI ZA KUSIKITISHA KWAMBA KUNA MBONGO AMEFARIKI HUKO ARIZONA NCHINI MAREKANI ANAEJULIKANA KWA JINA LA REHEMA KAYUNGI. CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO HAKIJAJULIKANA. TUNAPENDA KUOMBA USHRIKIANO WAKO ENDAPO UNAFHAMU NDUGU WA MAREHEMU WALIPO NA KUWAFIKISHIA UJUMBE HUU MUHIMU SANA. INASEMEKANA ANA KAKA YAKE ANEISHI ARUSHA (JINA HALIFAHAMIKI). NA KWA WALE MLIOKO HUKO PIA TUNAOMBA MJARIBU KUTAFUTA NJIA ZA KUPATA HABARI ZAKE NA KUZIKIFISHA ZINAPOTAKIWA, MWILI WAKE UPO MOCHWARI HUKO ARIZONA CITY!
ALIKUWA HANA MAWASILIANO NA WABONGO KABISA, SO TAFADHALINI MSITIRINI MWENZETU HUYO.

HABARI HIZI KWA KWA MUJIBU WA DADA KHADIJA ANEISHI HUKO ARIZONA!!! PLEASE HELP IF YOU CAN!!!
TUTAZIDI KUWALETEA HABARI ZAIDI KADRI TUTAKAVYO KUWA TUNAZIPOKEA.
TUNAPENDA KUTOA POLE KWA WAFIWA WOTE, MWENYEZI MUNGU AWATIE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.

KWA HABARI ZAIDI WASILIANA NA DADA MARY MASANYWA ON +1 713-319-7315.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages