Mkandarasi
wa mradi wa visima vya maji, Enock Kangasa akisukuma pump ya moja ya
visima vya maji mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie
(kushoto), kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa
gharama ya sh. milioni 25 katika Kijiji cha Mkolani I, wilayani Geita
juzi.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(aliyeweka miwani kifuani) akifurahia jambo wakati Mkuu wa Wilaya ya
Geita , Manzie Mangochie akijaribu moja ya pump ya visima vya maji
katika mradi unaojengwa kwa sh. milioni 25 na TBL katika Kijiji cha
Mkolani I, Geita, viongozi hao walikwenda kukagua mradi huo juzi
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Manzie Mangochie, akisistiza jambo wakati
akikagua juzi mradi wa visima vya maji unaotekelezwa na Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) katika Kijiji cha Mkolani I wilayani Geita, Katikati ni
Mhandisi wa Maji wilayani Geita, Enock Kangasa Mradi huo umegharimu
milioni 25.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)