Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya akiwapa semina warembo wa Miss
Universe 2012 walipotembelea
katika ofisi za TGNP kujionea shughuli za mtandao huo wa jinsia Tanzania jijini Dar es salaam leo
ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika June 29 Mwaka huu.
Walimbwende wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza semina hiyo
Walimbwende wakijionea nguo mbalimbali katika duka lijulikanalo kama (AMINA DESIGN)lililoko ndani ya jengo la ( QUALITY CENTRE HALL)liloko jijini Dar es salaam
Amina Design)Bi Amina M.Plummer akiongea na walimbwende hao walipotembelea kujionea mavazi mbalimbali katika duka hilo |
Amina Design)Bi Amina M.Plummer akiwa kwenye picha ya pamoja na warembo hao.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)