Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super
D' kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati
wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana ya
kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika
ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super
D' kushoto akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati
wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana ya
kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika
ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)