Marehemu
Mama Mchungaji John Kupaza
Familia
ya Mchungaji John Kupaza wa Kanisa la Baptist Kisosora Tanga anapenda kutoa
shukrani zake za dhati kwa wale wote waliojaribu kuokoa maisha ya Mke wake
Mpendwa Marehemu Mama Mchungaji Kupaza na wale walioshiriki kwa dhati katika
shughuli za mazishi.
Mchungaji
J. Kupaza anapenda shukrani zake za dhati ziwafikie Baptist Convention of
Tanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya Kuu ya Wanawake wa Baptist Tanzania, Dr. Lugano
Mtafya, Umoja wa Makanisa ya Baptist Dar es salaam, Baptist Kanda ya Kaskazini,
Umoja wa Makanisa Tanga, Manesi na Wauguzi wa Hospitali ya Muhimbili, Hospitali
ya Cancer ya Ocean Road, Hospitali ya Bombo Tanga, Madaktari na wauguzi wa
Magomeni Baptist Center, Majirani wote wa Mchungaji Kupaza na watoto wa Marehemu
Sarah, Samwel, Rosemary, Dr. Lawi, Potinna, David na Tumaini wote kwa pamoja
wanawashukuru wote mlioshirikiana nao katika kipindi hiki kigumu. Mungu
awabariki wote.
Marehemu Mama Mchungaji Kupaza alifariki Tar.
18/05/2012 Jijini Dar es slaam na kuzikwa Tarehe 21/05/2012 Jijini Tanga katika
makaburi ya Bombo.
BWANA
ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
AMEN.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)