Mashindano ya Miss Universe Tanzania yaliyomtoa mrembo Flaviana na
wengine wengi yamerudi tena kwa mwaka mwingine.Miss Universe Tanzania
2012 form ziko tayari na safari hii Mikoa kama vile Dodoma,Mwanza,Dar es
salaam,Bukoba,Mtwara,Manyara,Arusha na Kilimanjaro itafanya usahili wa
shindano hilo lenye nafasi ya pili kwa ubora Duniani na lenye umaarufu
kuliko shindano lolote lile duniani.
2007 alikuwa Flaviana Matata,
2008 Amanda Ole sululu
2009 Illuminata James Wize
2010 Hellen Dausen
2011 Nelly Kamwelu
2012 ??????
Form ziko tayari kwa mikoa yote ilotajwa hapo juu,this week jumatano tarehe 6 Miss Universe scouting team itakuwa Mtwara......
Alhamis/Ijumaa ya wiki hii tarehe 7 june Miss Universe scouting
team itakuwa mkoani Dodoma.....Kwa mawasiliano zaidi piga number 0714441165 AU 0713302075
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)