Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa vyombo vya
habari mbalimbali vya Bara na Visiwani, kuhusu vurugu za kundi la
Uamsho zilizotokea visiwani humo kwa siku tatu mfululizo. Mazungumzo
hayo yalifanyika mjini Zanziba katika ukumbi wa Ikulu jana.
Baadhi
ya Wahariri na Waandishi wa Habari,wa vyombo mbali mbali vya Serikali
na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao jana katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na
Ramadhan Othuman
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)