Hasheem Thabeet ahidi kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa kikapu shule ya sekondari ya Lord Baden Powell Memorial High School - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Hasheem Thabeet ahidi kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa kikapu shule ya sekondari ya Lord Baden Powell Memorial High School

Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Kumbukumbu ya Lord Baden Powell, Kanali Idd Kipingu akizungumza machache mbele ya wageni wake waliofika mapema leo shuleni hapo kwa ajili ya kuangalia namna ya kujenga uwanja wa mchezo wa mpira wa kikapu.
Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania, anayechezea timu ya Portland Trail Blazers ya Marekani kwenye Ligi ya NBA, Hasheem Thabeet akizungumza jambo mbele ya wanafunzi wa shule ya sekondari  ya Lord Baden Powell Memorial High School,wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kiwanja cha mpira wa kikapu shuleni hapo mapema leo Bagamoyo,nje kidogo ya jiji la Dar,kulia ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania, Phares Magesa.Hasheem Thabeet ameahidi kuwajengea uwanja wa mpira wa kikapu shuleni hapo. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages