Rais Kikwete akagua mradi wa ufyatuaji Matofali na ujenzi wa Shule ya Sekondari Mboga - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete akagua mradi wa ufyatuaji Matofali na ujenzi wa Shule ya Sekondari Mboga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua matofali yaliyotengenezwa kwa mashine ya Hydrafoam kwaajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya sekondari ya Mboga,wilayani  Bagamoyo. Mashine  hiyo yenye thamani ya Shilingi Milioni Sabini 70m/- imetolewa na Rais Kikwete kama msaada kwa vijana waliounda ushirika ili kuboresha maisha yao kwa kufanya  miradi mbalimbali ya ujenzi na uzalishaji(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages