MAMIA WAMZIKA WILLY EDWARD NUMBANI MUGUMU SERENGETI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMIA WAMZIKA WILLY EDWARD NUMBANI MUGUMU SERENGETI

Mwili wa Marehemu Willy Edward ukifanyiwa ibada ya mara baada ya kushuswa kabulini





Waombolezaji wakiwa wamepanga mstari kuelekea lilipo jeneza la mwili wa Marehemu Willy Edward aliyefariki wiki iliyopita wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu nyumbani kwao Mugumu Serengeti ambapo amezikwa leo


Waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Willy Edward nyumbani kwao, 
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, marehemu Willy Edward, likiwekwa kaburini wakati wa maziko yaliyofanyika nyumbani kwao Molotonga, Mugumu Mjini, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara jana.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda akiwaongoza
Mdogo wake na marehemu anayejulikana Eza akiweka shada la maua pamoja na watoto wa Marehemu Willya Edward.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages