Hili
ndilo jukwaa la Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika leo hii jumapili
kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini
Morogoro.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni ya Vodacom kwa bei
nafuu kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na
twitter bure.
Kutoka
kushoto Mkuu wa ufundi wa Prime Times Promotion Haruna,Mtaalamu wa
mabango wa Vodacom Adam Justice,Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom
Ibrahim Kaude,Meneja Mahusiano wa Kampuni hiyo Matina Nkurlu,wakiwa
wamepozi kwa picha wakati wa maandalizi ya Tamasha la
”WAJANJA”litakalofanyika leo hii siku ya jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa bei nafuu
kabisa kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi
ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na
twitter bure.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood
Media,akiangalia moja ya zawadi aliyokabidhiwa na Meneja Mahusiano wa
Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu
Kaude ,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la
kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika leo
jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa
Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea
kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)