GARI LA BIA LAPATA AJALI MKOANI SUMBAWANGA... WANANCHI WALEWA CHAKARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GARI LA BIA LAPATA AJALI MKOANI SUMBAWANGA... WANANCHI WALEWA CHAKARI


Hii imetokea Jana jumamosi asubuhi majira ya saa tatu asubuhi baada ya gari ya kampuni ya Kanji Ladji inayobeba bia iliokuwa inatokea Mbeya kwenda Sumbawanga ikiwa imesheheni vinywaji kupata ajali na kuanguka majira ya saa tatu asubuhi.
 
 Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi..... baada ya ajaali hiyo kutokea kijiji cha Mshani zipatazo km 19 kutoka Laela-Sumbawanga ilikuwa kama sherehe kwa wengine kwani wanakijiji walivamia gari na wakaruhusiwa kunywa watakavyo ila hakuna kuondoka na chupa..... asubuhi watu walikuwa wamelewa chakari...Maisha bora kwa kila Mtanzania...

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages