Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa kwa gwaride baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Luanda, Angola May 31, 2012 kumwakilisha Rais
Jakaya Kikwete katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika, SADC. Anaongozwa na Waziri wa Nishati na Maji wa
Angola Joao Baptista Borges.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Maji wa
Angola, Joao Baptista Borges baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa Luanda nchini Angola May 31, 2012 ambako
atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika kikao cha Wakuu wa Nchi za
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC Juni 1, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe baada ya kuwasili Luanda Angola
May 31, 20121 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwenye katika Kikao cha
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika SADC Juni 1, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengio Pinda akisalimiana na Rais wa Angola Jose Edwardo
dos Santos katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleoo ya
Nchi za Kusini mwa Afrika SADC kilichofanyika Juni 1, 2012 Mjini Luanda
Angola . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)