Kikundi
cha muziki wa taratibu (classic) cha Dar Choral Society kikitoa
burudani katika onyesho la muziki huo lililodhaminiwa na Airtel katika
ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Meneja
Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo akitoa maelezo kwa Mkuu wa Biashara
wa Benki ya Africa, Wasia Mushi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa
na Airtel katika onyesho kikundi cha Dar Choral Society
lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini
Dar es Salaam jana
Baadhi
ya waimbaji wa kikundi cha Dar Choral Society wakiimba katika onyesho
la lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya watu wakiohudhuria onyesho hilo wakipata maelezo ya huduma
zitolewazo na Airtel katika eneo lililowekwa ambapo huduma mbalimbali
zilipatikana.
Baadhi
ya watu waliohudhuria onyesho la kikundi cha muziki cha Dar Choral
Society wakishangilia katika onyesho hilo lililodhaminiwa na Airtel
katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam jana
Mkurugenzi
wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola (kushoto)
akizungumza na baadhi ya watu waliohudhuria onyesho la kikundi cha
muziki cha Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi
wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)