Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Zanzibar katika Mkutano
Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika wakati wa
hafla ya chakula cha usiku baada ya ufunguzi wa mkutano huo Mei 31, 2012
usiku katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana wa Arusha
walioshiriki kutoa huduma kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya
Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika wakati wa hafla ya chakula cha
usiku baada ya ufunguzi wa mkutano huo Mei 31, 2012 usiku katika hoteli
ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya
Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika. Jengo hili liko nyuma ya jumba
la mikutano la AICC jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais wa European
Investment Bank Bw Plutarchos Sakellaris baada ya kufungua Mkutano Mkuu
wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa
AICC jijini Arusha Mei 31, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa
ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya
kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika. Jengo hili liko nyuma ya jumba la mikutano la AICC jijini
Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisamiana na Rais wa Japan International
Cooperation Agency (JICA) Profesa Akihito Tanaka na baadaye kufanya naye
mazungumzo baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mshauri wa Mfalme wa
Tano wa Morocco Bw Omar Kabbaj baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi
ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini
Arusha.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)