KILIMANJARO TAIFA STARS WAKIWA MAZOEZINI ABIDJAN: KUSHUKA DIMBANI KESHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KILIMANJARO TAIFA STARS WAKIWA MAZOEZINI ABIDJAN: KUSHUKA DIMBANI KESHO

Wachezaji wa timu ya Soka ya Taifa ‘Kilimanjaro Taifa Stars’ wakijifua kwenye Uwanja wa wa kituo cha Michezo mjini Abidjan juzi kujiandaa na mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast inayotarajiwa kufayika kesho Jumamosi  kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny. 
Kocha wa timu ya Soka ya Taifa ya ‘Kilimanjaro Taifa Stars’, Kim Poulsen akiwapa mazoezi ya viungo wachezaji wa timu hiyo kwenye uwanja wa kiruo cha Michezo mjini Abidjan juzi kujiandaa na michuano ya mchujo wa kucheza kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny.PICHA KWA HISANI YA EXECUTIVE SOLUTIONS LTD

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages