Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen akizungumza
katika mahojiano na Dida wa Mchops hayupo pichani mtangazaji wa Times
Radio wakati alipozungumzia maadalizi ya mchakato wa kuwapata washiriki
watakaoshindana katika shindano la Epique Bongo Star Search katika mikoa
mbalimbali nchini, zoezi la kusaka washiriki hao linaazia mkoani Dodoma Juni
15 katika Ukumbi wa Royal
Village, katika picha kulia ni Awaichi Mawala kutoka kampuni ya simu za
mkononi ya Zantel ambao ndiyo wadhamini wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen, Awaichi Mawala kulia kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel na Dida wa Mchops mtangazaji wa Times Radiowakishoo love katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mahojiano hayo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)