Spika wa Bunge la Afrika Mashariki huyu hapa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki huyu hapa

Spika Mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Margaret Banbtonbg Zziwa (49) kutoka Uganda akitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge hilo uliopo katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha leo. Zziwa ambaye ni Mchumi kitaaluma amemshinda mwanamke mwingine kutoka Uganda, Mwanasheria Dora Byamukama (40) baada ya uchaguzi huo kurudiwa mara mbili baada ya kura za awali kutokufikia idadi asiliamia 30 inayotakiwa ya wapiga kura wote.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages