Mshindi Wa Taji la Redds Miss Dodoma 2011 akisubiri Kumvalisha Taji
Mshindi ambaye atatangazwa katika shindano la Kuwania Taji la Redds Miss
Dodoma 2012
Mshindi wa Taji la Redds Miss Dodoma 2012 (katikakati) Lightness Michael akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili (Kulia) Berinda Mdogo na Mshindi wa Tatu wa taji la Redds Miss Dodoma 2012 (Kushoto) Nulsa Magambo Mara baada ya Mshindi wa Taji la Redds Miss Dodoma Kumalizika hapo Jana
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Kuwania Taji la Redds Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora
Muda wa Maswali Ukawadia Kwa washiriki walioingia katika tano bora
Baadhi ya washiriki walipokua wakipita Jukwaani kwa Mara ya kwanza
Muda wa Kuonyesha Vipaji sasa hapo ni mauno kwa kwenda mbele
Vazi la Ufukweni hilo
Washiriki walioingia hatua ya tano bora
Jaji mkuu akisoma majin ya washiriki walioingia tano bora
Muda wa kipaji na Mshiriki huyu akaja na kipaji cha kuimba kihindi na kucheza kuch kuch
Majaji wakiwa makini katika kuhakikisha wanatoa mshiriki anayefaa na mwenye vigezo vyote vinayohitajika
Msanii wa Bongo Fleva Dully Sykes akitoa Burudani kwa washabiki waliohudhuria katika shindano la kuwania taji la Redds Miss Dodoma 2012 lililofanyika jana katika ukumbi wa kilimani
Baadhi ya Wadau waliojitokeza kushuhudia Kinyanganyiro Hiko huku wengine wakisakata rumba mara baada ya Dully Sykes Kuwakuna Vilivyo
Waratibu wa Shindano hilo wakiwa katika Picha ya Pamoja
Hawa ndio waliokunwa vizuri na Show ya Msanii wa Bongo Fleva Dully Sykes
Mmiliki wa mtandao wa Lukaza blog (Wa Kwanza Kushoto) Josephat Lukaza Akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa UDOM waliojitokeza kuwashangilia Wanafunzi wenzao walioshiriki shindano hilo
Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redds Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Shindano hilo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)