RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SOMALIA ARUSHA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SOMALIA ARUSHA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye leo june 2, 2012 jijini Arusha. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya  Afrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages