Naibu
Waziri Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini
Mhe.Stephen Maselle (kulia) akipokewa na Mhe. Jaji Mark Bomani,
alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kujadili mapendekezo ya
Kamati ya Rais ya Kuishauri Serikali kuhusu usimamizi wa sekta ya
madini kwa manufaa ya taifa.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)