CANDY AACHIA VIDEO MPYA YA CHANINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CANDY AACHIA VIDEO MPYA YA CHANINI

CANDY CALFONIA AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA  DIRETOR  "GOBA FRED" AMBAYE ANAMILIKI KAMPUNI YA "NEW PAGE VIDZ," VIDEO HIYO AMBAYO INATAZAMIWA KUWA NGUMZO KWA MASHABIKI NA WATAZAMAJI WA RUNINGA MBALIMBALI HAPA NCHINI, KWANI HUMO NDANI KUNA MBWEMBWE, KUJIACHIA KUSIKO MFANO, KUJISHEBEDUA, KURINGA KULIKOPITILIZA NA UHODARI MKUBWA WA KUDANCE ALIOUONYESHA NDANI YA VIDEO HIYO, HAKIKA DIRECTOR ALIKUWA MWENYE WAKATI MGUMU SANA WAKATI ANACHUKUA CLIPS  ZA VIDEO HIZO.....EBU PATA NAFASI UIONE VIDEO HII NA UONE JINSI CANDY ALIVYOJIACHIA NI BALAA...!! VIDEO YAKE HIVI PUNDE TU ITAONEKANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA LUNINGA NDANI NA NJE YA TANZANIA. MWANADADA CANDY AMBAYE WIMBO WAKE HUO MPYA  UNAOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" NI MIONGONI KWA JIMBO 6  ZA WASANII CHIPUKIZI ZILIZOCHAGULIWA KWA AJILI YA FIESTA 2012 NA NI MWANAMKE PEKEE KWENYE GROUP HILO LA WATU SITA AMBAPO  WATANO NI WANAUME. 


   JINA LA WIMBO (VIDEO)        :   CHANINI
   WATENGENEZAJI WA VIDEO  :   NEW PAGE VIDZ
   MSIMAMIZI                              :   GOBA FRED
   MSANII                                      :   CANDY
   WATENGENEZAJI(AUDIO)        :   PAMOJA RECORDS
   MAWASILIANO YA MSANII      :   0753 915938
    BARUA PEPE                                 :   hellendavid40@yahoo.com
    FACEBOOK    & TWITTER            :   CANDY CALFONIA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages