Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein, akiweka jiwe la msingi katika Shina
jipya la Chama Wilaya ya Kaskazini A, Tawi la CCM -Kibuyuni Jimbo la
Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, alipofanya ziara ya kuimarisha Chama
katika Mkoa huo jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimkiana na baadhi ya viongozi wa
CCM wa mkoa huo baada ya kuwasili mahala hapo jana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)