Hapa ripota wenu Nikijaribu kuona kama hili gari litanifaa katika shughuli zangu za kila siku na je lina comfotability ili niweze kulinunua au niachane nalo.
Hapa nikiangalia jinsi gani inaweza kubadilishwa na kuweza kufanya kazi tofauti na ujenzi.Injini ya hiyo gari ina uwezo wa kufua umeme na kuwa injini ya kukoboa.
Gari lenyewe ndio Hilo Sasa Linavyoonekana kwa Juu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)