Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati)akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe,(kulia) wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (wa tatu kushoto)akipata taarifa ya utekelezaji wa kazi za Mkoa wa Kaskazini Unguja,iliyosomwa na Maalim Maulid Nafasi Juma, leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya kijamii katika Mkoa huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea taarifa ya utekelezaji wa kazi za Mkoa wa Kaskazini Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe, leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya kijamii katika Mkoa huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na viongozi na watendaji wa Wilaya ya kaskazini B, katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni, akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya
kijamii katika Mkoa huo,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame, (kulia) Waziri wa Nchi Ofosi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pembe Juma Pembe.
kijamii katika Mkoa huo,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame, (kulia) Waziri wa Nchi Ofosi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kheir na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pembe Juma Pembe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi madasrasa mapya katika Skuli ya Matemwe Kigomani jana aliupokuwa katika ziara ya wilaya ya Kaskazini B Unguja, Mkoa wa Kaskazini kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali ya kijamii katika Mkoa huo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)