Ikulu
imetoa taarifa rasmi kwamba baraza jipya la mawaziri liko jikoni na
sasa litatangazwa muda wowote kuanzia sasa..taarifa hiyo imeongeza
kwamba baraza hilo litakua lina ubora wa hali ya juu sana.
Chanzo:Gazeti Mwananchi.
Chanzo:Gazeti Mwananchi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)