Mfanyakazi
wa ndani anayetuhumiwa kumuua mtoto wa mwenye nyumba katika eneo la
Sinza Mori akiwa amewekwa chini ya ulinzi na majirani wa eneo hilo.
Kulia ni mtangazaji wa Clouds FM, Gea Habib.Picha na Evance Ng’ingo
--
MSICHANA
wa kazi za ndani anayetuhumiwa kumuua mtoto wa bosi wake, juzi usiku
alinusurika kudhuriwa baada ya kukamatwa na bosi wake aliyejulikana kwa
jina moja la Mama Angel.
msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 (jina limehifadhiwa), akikamatwa juzi saa 6 usiku Sinza nyumbani kwa Mama Angel. Baada ya kukamatwa, majirani wa Mama Angel ambao walishiriki msiba wa mtoto huyo, walishirikiana kutaka kumchukulia sheria mkononi.
Inadaiwa kuwa msichana huyo alisababisha kifo cha mtoto huyo wa miezi saba wakati Mama Angel akiwa kazini Machi mwaka huu na kutoroka nyumbani hapo.
Kijana wa mwenye nyumba hiyo, Ally Hasan alidai alikuwa wa kwanza kugundua kuwa mtoto huyo amekufa baada ya Mama Angel kumpigia akimuomba kumuangalizia mtoto wake huyo aliyekuwa amemuacha amelala. Kwa Habari Kamili bofya na Endelea..>>>>>>
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)