Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Emmanuel Nchimbi akitia saini
ya Mwongozo wa Kanuni za Uongozi kwa Wamiliki na Mameneja wa Vyombo vya
Habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo
vya Habari Nchini (MOAT) Reginald Mengi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa
Mpango wa Vyombo vya Habari Africa (AMI) kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Utawala wa AMI, Dk Roukaya Kasenally. (Na Mpigapicha
Wetu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)