Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt.
Emmanuel Nchimbi akisisitiza jambo kwa Balozi wa China LU Youqing wakati
Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni.Viongozi hao
waliahidi kudumisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)