Waziri
Mkuu Mheshimiwa MIZENGO PINDA ametangaza Wakuu wapya wa Wilaya huku
Wakuu wa Wilaya 51wa zamani akiwaacha kutokana na sababu mbalimbali
ikiwemo ya kustaafu kazi.
Akitangaza
Wakuu hao wapya wa Wilaya mbele ya Wahariri wa vyombo vya habari
nchini, Waziri Mkuu amesema kati ya Wakuu hao wa Wilaya 133
walioteuliwa wapya ni Sabini wakiwemo Waandishi wa habari Sita.
Kulingana na Waziri Mkuu kabla ya
kutangazwa kwa Wilaya mpya kulikuwa na Wakuu wa Wilaya 114 ambapo kati
ya Wakuu hao wa Wilaya wa Zamani 63 wamebaki katika uteuzi wa leo na
51 wameachishwa kazi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)