Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv
Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012
ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa
Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na
uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
"Karibu
Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum
kwa Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete
alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo
April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa
Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na
uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili
hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9,
2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika
linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi
kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais
Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv
Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012
ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa
Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na
uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)