WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA TUME YA KURATIBU MAONI YA KATIBA NA KAMPUNI YA STATOIL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA TUME YA KURATIBU MAONI YA KATIBA NA KAMPUNI YA STATOIL

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe baada ya kutembelea Ofisi za Tume Kamati ya Mabadiliko ya Katiba   na kuzungumza na wajumbe wake, jijini Dar es salaam May 9, 2012.Kulia niMwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Sinde Warioba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume  ya Kamati ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba  na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kutembelea Ofisi za Tume jijini Dar es salaam May 9, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Rais  wa Kampuni ya Mafuta ya STATOIL sna ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam May 9, 2012. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages