Katibu
kiongozi wa kitengo cha mazingira kwenye chuo kikuucha Kilimo Sokoine
akipanda mti katika eneo maalum ndani ya chuo kikuu chaKilimo Sokoine
mjini Morogoro kwenyekampeni maalum ya mazingira inayofanywa na
Grandmalt kwenye vyuo vikuu nchinikwa mwaka huu.
Meneja
wa Kinywaji cha Grand malt Consolata Adam (Alieinamakatikakati)
akipanda mti katika eneo maalum ndani ya chuo kikuu cha Kilimo Sokoine
mjini Morogoro kwenye kampeni maalumya mazingira inayofanywa na
Grandmalt kwenye vyuo vikuu nchini kwa mwaka huu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)