Waziri
mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda (katikati)
akiwasha mwenge wa uhuru kuashiria kuanza kwa mbio za mwenge huo kwa
mwaka 2012 leo katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Mwenge huo utakimbizwa kwenye jumla ya Halmashauri za wilaya, Manispaa
na miji 157 na kuongozwa na kauli mbiu ya Sensa ya watu na Makazi ni
Msingi wa Mipango ya Maendeleo yetu Shiriki kuhesabiwa Agosti 26.
Waziri wa Habari,Vijana , Utamaduni na
Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo jana mjini
Mbeya na Naibu wake Amos Makalla(katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro
Joel Bendera wakati wakimsubiri Waziri Mkuu wa Tanzania kuja kuzindua
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2012 .PICHA NA ARON MSIGWA NA VICENT TIGANYA MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)