NGUO NDEFU ZATAWALA LEO UDOM MARA BAADA YA WARAKA WA MAVAZI KUBANDIKWA JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NGUO NDEFU ZATAWALA LEO UDOM MARA BAADA YA WARAKA WA MAVAZI KUBANDIKWA JANA

Picha Hizo Juu Ni Waraka Wa Mavazi Uliotolewa Tarehe 7 May 2012 na Kupandikwa katika Mbao Za Matangazo Chuo Kikuu Cha Dodoma Jana Hatimaye Waraka Huo Wafanya Kazi Rasmi Na Matokeo yake Ni Hizo Picha Chini Hapo
Picha Hapo Juu Ni Aina Ya Mavazi yaliyotawala kwa siku ya Leo Ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mara baada ya Waraka wa Mavazi Kubandikwa Jana Jioni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages