Meneja wa bia ya Serengeti SBL Bw.Allan Chonjo akimkabidhi Bi Agness
Msengi jenereta aliyojishindia katika promosheni ya Vumbua Hazina chini
ya kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo kupitia bia zake za Tusker Lager, Plisner Lager na Serengeti Premium Lager.
Menja wa bia ya serengeti Bw Allan Chonjo akimkabidhi bw.Amadeus
Minja jenereta aliojishindia kuopitia promosheni inyoendeshwa na kampuni
ya bia ya serengeti
Washindi wakishangili kwa ma pamoja na meneja wa bia ya Serengeti
Premium Lager Bw. Allan Chonjo mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao
jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)