Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Jaji Joseph
Sinde Warioba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Mpya, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Da es salaam leo kwa
mazungumzo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya
(EU), Bw. Filberto Sebregondi, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, leoPicha Zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)