Wanafunzi wa UDOM na wanachama wa Klabu ya Jogging UDOM wakiwa mazoezini. wanafunzi hawa huwa wanafanya mazoezi kila siku kwaajili ya kuhakikisha kuwa afya zao na akili zao zinakuwa safi kabisa baada ya mihangaiko ya siku nzima
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)