Waziri wa Sanyasi Mawasiliano na Tekenolojia Profesa Makame
Mbarawa Akiongea na wadau wa TEHAMA katika uzinduzi wa semina maalumu ya
kuangalia maendeleo mbalimbali ya katika sekta hiyo ya habari.semina
hiyo inafanyika katika makao makuu ya TCRA Mwenge jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa ICT sayansi na teknorojia Bi Aida Opoku akisisitiza jambo katika semina hiyo.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika semina hiyo wakifuatilia kwa
karibu mada mbalimbali zilizo0kuwa nikitolewa katika mkutano huo.
Waziri wa
Sanyasi, Mawasiliano na Tekenojia Profesa Makame
Mbarawa.(katikati)akishauriana jambo na Naibu waziri wake Charles
Kitwanga kushoto.na( kulia) katibu mkuu wa wizara hiyo Dr.Florens Turuka.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)